Baruan Muhuza akibadilishana uzoefu na wanahabari wa Iringa kupitia KwanzaJamii/Mjengwablog. Pichani ni leo asubuhi
![]() |
BARUANI MAHUZA AKIWA KWENYE STUDIO ZA IBONY FM IRINGA |
Kipindi ni Jamii Yetu. Wageni wengine
waalikwa ni Josephine Mkude kushoto na Martha Magessa, wote ni
wanahabari wa KwanzaJamii/Mjengwablog.

Baruan yuko Iringa kututembelea timu
ya KwanzaJamii/ Mjengwablog na kuwa na wasaa wa kubadilishana uzoefu
kuhusiana na masuala ya habari na utangazaji. Leo tutapata wasaa zaidi
wa mazungumzo na baadhi ya wanahabari hapa Iringa wameonyesha nia ya
kujiunga na wenzao wa Kwanzajamii/ Mjengwablog kwenye mazungumzo hayo.
Karibu sana Iringa Baruan Muhuza..!
Maggid,Mjengwa
Iringa.
Maggid,Mjengwa
Iringa.
0 comments:
Post a Comment