Wednesday, 15 January 2014

RAIS MSTAAFU BENJAMINI MKAPA AMKABIDHI RAISI KIKWETE VITABU VYA HUTUBA ZAKE

 
Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa leo amemkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya vitabu vya hotuba zake alizozitoa kwa nyakati tofauti wakati wa uongozi wake wa miaka kumi.Pichani Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akikabidhi Rais Kikwete vitabu hivyo katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.VitABU hivyo vimechapishwa na kampuni ya Mkuki na Nyota chini ya Mkurugenzi wake Bwana Walters Bugoya(picha na Freddy Maro). D92A8011 D92A8012

Related Posts:

0 comments: