Madiwani wakipiga makofi ikiwa ni ishara
ya kumpongeza Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (wa pili
kushoto) kukata utepe wakati wa hafla ya kukabidhi madawati 500 yenye
thamani ya sh. mil. 67.5 yatakayogawiwa katika Shule za msingi katika
Kata 13 za jimbo hilo. Hafla hiyo imefanyika leo Chuo cha Ufundi
Chang'ombe, Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu
akizungumza baada ya kukabidhi madawati 500 yenye thamani ya sh. mil.
67.5 yatakayogawiwa katika shule zilizopo katika Kata 13 za Jimbo hilo.
Madawati hayo yaliyonunuliwa kwa fedha za Mfuko wa Jimbo yalikabidhiwa
kwa madiwani wa Kata hizo katika hafla iliyofanyika Chuo cha Ufundi
Chang'ombe, Dar es Salaam
Naibu Meya wa wa Manispaa ya Temeke, Juma Mkenga akitoa shukurani kwa Mbunge Mtemvu kutoa madawati hayo.
Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar
es Salaam, Zena Mgaya akimpongeza Mtemvu kwa juhudi za kuinua kiwango
cha elimu wilayani Temeke
Ofisa Elimu wa Shule za Msingi Manispaa
ya Temeke, Honorina Mumba akieleze furaha ya kupata madawati hao 500
yatakayopunguza tatizo la madawati wilayani Temeke.
Mtemvu akiangalia wakati mwanafunzi Azizi Ally wa Shule ya Msingi Keko Magurumbasi akiandika jina lake.
mwanafunzi Azizi Ally wa Shule ya Msingi
Keko Magurumbasi, akitoa shukurani kwa Mtemvu kwa niaba ya wanafunzi
kwa kuwapatia madawati hayo
Fundi akiendelea kupiga msasa baadhi ya madawati hayo yalitotengenezwa VETA Chang'ombe
Saturday, 18 January 2014
HOME »
» MTEMVU ATOA MADAWATI 500 YATAKAYOGAWIWA SHULE ZA MSINGI JIMBONI TEMEKE
0 comments:
Post a Comment