Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi,pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wazee wa Chama cha
Mapinduzi alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Mjini Unguja jana, kuhudhuria katika Kikao cha Kamati Maalum ya CCM
(NEC) kilichofanyika jana,(kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar
Vuai Ali Vuai. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Wajumbe
wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) wakipitia mada mbali mbali
zilizoingizwa katika makbrasha waliyopewa katika kikao kilichofanyika
jana katika ukumbi Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Wajumbe
wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) wakifahamishana jambo wakati wa
kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana
katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Wajumbe
wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) wakimkaribisha Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, katika Kikao cha Kamati Maalum ya CCM
(NEC) kilichofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) wakipitia mada mbali
mbali zilizoingizwa katika makbrasha waliyopewa katika kikao
kilichofanyika jana katika ukumbi Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini
Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi,pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akiendesha kikao cha
siku moja cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana, Ofisi Kuu
ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja, (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Zanzibar Vuai Ali Vuai. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi,pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akizungumza na
wajumbe wa kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya CCM (NEC)
kilichofanyika jana, Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja, (kulia)
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment