Tuesday, 21 January 2014

HII NDIO AJALI MBAYA ILIYOTOKEA MBALIZI MAGARI ZAIDI YA SITA YAGONGWA.



 Magari yakiwa yamegongwa Mbalizi Mbeya

Watu mbalimbali wakiwa wanashangaa ajali hiyo iliyosababisha Gari moja kugonga magari mengine zaidi ya matano
Mashuhuda wakiwa wanashuhudia ajali hiyo


Watu wakiwa wanaongezeka kushuhudia ajali hiyo





PICHA NA MBEYA YETU BLOG

 

Related Posts:

0 comments: