Mechi zingine zitakazohusisha Timu za Ligi Kuu England ni zile kati ya Sunderland v Southampton na Everton v Swansea.
Mechi hizi zitachezwa Wikiendi ya Febbruari 15 na 16 na Washindi kutinga Robo Fainali.
Droo hiyo ilifanyika huko Wembley
Stadium Jijini London na kuendeshwa na Andros Townsend, Mchezaji
Chipukizi wa Tottenham, pamoja na Baba yake Mzazi, Troy, ambae ni
Mwanaharakati maarufu kwenye Soka.
FA CUP
RAUNDI YA 5
[Mechi kuchezwa Februari 15 & 16]
DROO KAMILI
Manchester City v Chelsea
Sheffield United AU Fulham v Nottingham Forest AUr Preston NE
Arsenal v Liverpool
Brighton v Hull
Cardiff City v Wigan
Sheffield Wednesday v Charlton
Sunderland v Southampton
Everton v Swansea
THE FA CUP WITH BUDWEISER
MSIMU 2013-14
TAREHE ZA RAUNDI:
-RAUNDI YA 3: Jumamosi Januari 4 [KLABU ZA LIGI KUU ENGLAND HUANZA]
-RAUNDI YA 4: Jumamosi Januari 25
-RAUNDI YA 5: Jumamosi Februari 15
-RAUNDI YA 6: Jumamosi Machi 8
-NUSU FAINALI: Jumamosi Aprili 12 & Jumapili Aprili 13
-FAINALI: Jumamosi Mei 17
0 comments:
Post a Comment