>>WIKIENDI HII LIGI KUU ENGLAND KUPISHA KOMBE HILI LA ZAMANI KUPITA YOTE DUNIANI!
MENEJA
Arsene Wenger ametangaza ukame wa kutwaa FA CUP umeongeza nia yake ya
kulibeba kwa mara ya 5 katika himaya yake na Arsenal.
FA CUP ndio Kombe la mwisho kwa Arsenal
kutwaa tangu Mwaka 2005 na Ijumaa wao ndio wataanza kucheza Mechi za
Raundi ya 4 wakiwa kwao Emirates na kupambana na Timu ya Daraja la chini
Coventry.
Wenger ametamka: “Nilibahatika kulitwaa
mara 4 lakini bahati mbaya hatujashinda kwa muda mrefu na sasa natilia
mkazo kutwaa FA CUP.”
Hiyo Ijumaa pia ipo Mechi nyingine ya FA
CUP kati ya Nottingham Forest na Preston na Jumamosi zipo Mechi 12
wakati Jumapili zipo Mechi mbili.
Kwa sababu ya Mechi hizi za FA CUP, Ligi Kuu England haitachezwa hadi Jumanne Januari 28 na Jumatano Januari 29.
FA CUP
Raundi ya 4
[Saa za Bongo]
Ijumaa Januari 24
22:45 Arsenal v Coventry
23:00 Nottingham Forest v Preston
Jumamosi Januari 25
15:45 Bournemouth v Liverpool
[Zote Saa 18:00]
Birmingham v Swansea
Manchester City v Watford
Wigan v Crystal Palace
Rochdale v Sheffield Wednesday
Southend v Hull City
Port Vale v Brighton
Huddersfield v Charlton or Oxford
Southampton v Yeovil
Bolton v Cardiff
Sunderland v Kiddrminister
[Saa 20:30]
Stevenage v Everton
Jumapili Januari 26
16:00 Sheffield United v Fulham
18:30 Chelsea v Stoke
THE FA CUP WITH BUDWEISER
MSIMU 2013-14
TAREHE ZA RAUNDI:
-RAUNDI YA 3: Jumamosi Januari 4 [KLABU ZA LIGI KUU ENGLAND HUANZA]
-RAUNDI YA 4: Jumamosi Januari 25
-RAUNDI YA 5: Jumamosi Februari 15
-RAUNDI YA 6: Jumamosi Machi 8
-NUSU FAINALI: Jumamosi Aprili 12 & Jumapili Aprili 13
-FAINALI: Jumamosi Mei 17
0 comments:
Post a Comment