Wednesday, 22 January 2014

CHAN 2014: CONGO DR, GABON ROBO FAINALI, BURUNDI NJE!

>>SAFU ROBO FAINALI YAKAMILIKA!!
CHAN2014_LOGOMASHINDANO ya CHAN 2014, ambayo ni michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wanaocheza ndani ya Nchi zao, yanayochezwa huko Afrika Kusini, leo yamekamilisha Mechi za Makundi na Gabon na Congo DR kufuzu toka Kundi D.
Hatua inayofuata ni Robo Fainali ambazo zitaanza Jumamosi.
Kwenye Mechi za leo, Burundi ilitangulia kuifunga Bao Congo DR kwa Bao la Suleiman Ndikumana lakini Congo DR wakaja juu na kupiga Bao mbili, zote zikifungwa na Makusu ambae awali alikosa Penati.
Kipigo hiki kimeitupa nje Burundi waliokuwa wakiongoza Kundi C na kuifanya Congo DR ifuzu pamoja na Gabon ambao waliitandika Mauritania, iliyokuwa tayari imeaga Mashindano, Bao 4-2.

MSIMAMO:
KUNDI A
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Mali
3
2
1
0
5
3
2
7
2
Nigeria
3
2
0
1
8
6
2
6
3
South Africa
3
1
1
1
5
5
0
4
4
Mozambique
3
0
0
3
4
9
-5
0
KUNDI B
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Morocco
3
1
2
0
4
2
2
5
2
Zimbabwe
3
1
2
0
1
0
0
5
3
Uganda
3
1
1
1
3
4
-1
4
4
Burkina Faso
3
0
1
2
2
4
-2
1
KUNDI C
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Ghana
3
2
1
0
3
1
2
7
2
Libya
3
1
2
0
5
3
2
5
3
Congo
3
1
1
1
3
3
0
4
4
Ethiopia
4
0
0
3
0
4
-4
0
KUNDI D
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Gabon
3
2
1
0
5
2
3
7
2
Congo DR
3
2
0
1
3
2
1
6
3
Burundi
3
1
1
1
4
4
0
4
4
Mauritania
3
0
0
3
4
8
-4
0

VIWANJA:
CAPE TOWN:
-Cape Town Stadium
-Athlone Stadium
MANGAUNG/Bloemfontein
-Free State Stadium
POLOKWANE
- New Peter Mokaba Stadium

Ijumaa, Kundi C litacheza Mechi zake mbili huko Mangaung, Bloemfontein Uwanjani Free State Stadium kwa Ghana kucheza na Libya na kufuatia Ethiopia v Congo.
CHAN 2014
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]

Jumanne Januari 21
Ethiopia 0 Ghana 1
Congo 2 Libya 2
Jumatano Januari 22
Burundi 1 Congo DR 2
Mauritania 2 Gabon 4
ROBO FAINALI
Jumamosi Januari 25
1800 [Mechi Na 26] Morocco v Nigeria [Cape Town Stadium]
2130 [Mechi Na 25] Mali v Zimbabwe [Cape Town Stadium]
Jumapili Januari 26
1800 [Mechi Na 28] Gabon v Libya [Peter Mokaba Stadium]
2130 [Mechi Na 27] Ghana v Congo DR [Free State Stadium]
NUSU FAINALI
Jumatano Januari 29
1800 [Mechi Na 29] Mshindi Mechi Na 25 v Mshindi Mechi Na 28 [Free State Stadium]
2130 [Mechi Na 30] Mshindi Mechi Na 27 v Mshindi Mechi Na 26 [Free State Stadium]
Jumamosi Februari 1
1800 Mshindi wa Tatu [Cape Town Stadium]
2100 Fainali [Cape Town Stadium]

0 comments: