Pichani ni leo Jumanne, mchana Mchana wa leo mchana mtandao huu umefika sehemu mbalimbali mkoa wa bagamoyo na kukuta nitofauti na miji mingine ya Tanzania mara nyingi tumezoea kuana kuna meza ya magazeti bali bagamoyo mtandao huu umeshuhudio kuna bango la magazeti sio meza tena
0 comments:
Post a Comment