Saturday, 8 February 2014

WANAFUNZI WA CHUO CHA GREEN HILL INSTITUTE WATEMBELEA MAENEO YA UTALII WA NDANI KAMA DARAJA LA MUNGU, MATEMA BEACH N.K

Hawa ni baadhi ya wnafunzi waliotelea daraja la mungu leo february 8 ilikuweza kutambua maeneo ya utalii yaliyopo mkoa mbeya picha na mbeyagreenewsblog
Hawa ni walimu wa greeni hill  walio ongozana nawaa nafunzi hao kutemmbelea utalii wa ndani ya mkoa wa mbeya


wanafunzi wakiwa beach ndani ya ziwa nyasa upande wa tanzanzi  kitika kijiji cha matema wilayani kyela mkoani mbeya


Related Posts:

0 comments: