Sunday, 9 February 2014

VPL: MGAMBO! YAICHAPA SIMBA I-0,MBEYA CITY YAIFUNGA MTIBWA 2-1NA KUISHUSHA SIMBA!

>>CAF KOMBE LA SHIRIKISHO: AZAM FC YAITUNGUA FERROVIARIO!
RATIBA/MATOKEO:
Jumapili Februari 9
Mgambo JKT 1 Simba 0
JKT Oljoro v Kagera Sugar
Rhino Rangers 0 Coastal Union 1
Mbeya City 2 Mtibwa Sugar 1

simba22 
Kwenye Mechi za VPL, Ligi Kuu Vodavom, huko Mkwakwani, Jijini Tanga, Simba wamefungwa Bao 1-0 na Mgambo JKT na kung’olewa kutoka Nafasi ya 3 na Mbeya City ambao wamewachapa Mtibwa Sugar Bao 2-1 huko Sokoine, Mbeya wakati Coastal Union wakipata ushindi adimu huko Tabora kwa kuitungua Rhino Rangers Bao 1-0.
Bao ambalo limeua Simba huko Tanga lilifungwa katika Dakika ya 29 na Fully Maganga.
Huko Tabora, Coastal Union walifunga Bao lao pekee na la ushindi dhidi ya Wenyeji Rhino Rangers kwa Bao la Haruna Moshi ‘Boban.’
Kwnye michuano ya CAF ya Kombe la Shirikisho, Azam FC ikicheza Nyumbani kwake Azam Complex huko Chamazi kwenye Viunga vya Jiji la Dar es Salaam walifanikiwa kuifunga Bao 1-0 Ferroviario de Beira ya Msumbiji katika Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Awali ya Kombe la Shirikisho.
Bao hilo la Azam FC lilifungwa na Kipre Tchetche katika Dakika ya 41.
Timu hizi zitarudiana huko Msumbiji Wikiendi ijayo.
MSIMAMO:
NO
TEAMS
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
Azam FC
16
10
6
0
29
10
19
36
2
Young Africans
16
10
5
1
34
12
22
35
3
Mbeya City
17
9
7
1
24
14
10
34
4
Simba SC
17
8
7
2
33
15
18
31
5
Coastal Union
17
4
10
3
12
8
4
22
6
Mtibwa Sugar
17
5
7
5
21
21
0
22
7
Kagera Sugar
16
5
6
5
15
15
0
21
8
Ruvu Shootings
15
4
7
4
16
16
0
19
9
JKT Ruvu
15
6
0
9
13
19
-6
18
10
Ashanti United
16
3
4
9
14
28
-14
13
11
Mgambo JKT
17
3
4
10
8
26
-18
13
12
JKT Oljoro
16
2
6
8
12
17
-5
12
13
Rhino Rangers
17
2
6
9
11
21
-10
12
14
Tanzania Prisons
14
1
7
6
6
16
-10
10

RATIBA MECHI ZIJAZO:
Jumatano Februari 12
JKT Ruvu v Ruvu Shooting
Jumamosi Februari 15
Rhino Rangers v Mgambo JKT
Ashanti United v Kagera Sugar
Mtibwa Sugar v Tanzania Prisons
JKT Oljoro v JKT Ruvu
Mbeya City v Simba
Ruvu Shooting v Coastal Union

Related Posts:

0 comments: