MKURUGENZI
Mkuu wa Kampuni ya usambazaji wa filamu za kiswahili Lufingo Exaud
amesema kuwa wameingiza mtaani filamu yao mpya ijulikanayo kwa jina la
Exdent ambayo imeshilikisha wasanii mbalimbali wenye majina makubwa hapa
nchinika
Utakutana na King Majuto, Muhogo Mchungu, Lufingo, Mzee Pembe na wasanii mbalimbali walio bobea katika sanaa hii ya filamu nchini
filamu
hiyo iliyorekodiwa kwa ubora wa hali ya juu na umakini mkubwa yenye
mafundisho ndani yake itakuwa chachu kwa jamii kujirekerbisha katika
maisha yao ya kila siku
Kwa sasa filamu hiyo inapatikana maduka yote yanayouza kanda za kiswahili nchini Tanzania na mikoa yote kwa ujumla
Hivyo
wapenzi wa filamu waende kununua DVD halali ili waendelee kukuza kipato
cha wasanii nchini filamu hiyo ambayo imewashilikisha wasanii wengi
wakubwa imekuwa ikigombaniwa sokoni kutokana na ubora wake pamoja na
wasanii wenyewe jinsi walivyo onyesha uwezo mkubwa wa kuitendea haki
filamu hiyo
0 comments:
Post a Comment