Monday, 17 February 2014

MAPATO YA MBEYA CITY NA SIMBA YA VUNJA REKODI KATI YA MECHI NA YANGA JUMLA YA MAPATO MILIONI 105


Jumla ya shilingi milioni mia moja na tano (105,000,000) zilipatikana katika mechi yetu dhidi ya Simba na huu ni mgawanyo ulivyokua.

Pia mechi hii imevunja  rekodi kati ya mbeya city na yanga

Mbeya City 25,316,97 ml
Simba sc 25,316,97 ml
Uwanja 12,872,702,57 ml
bodi ya ligi 7,723,621,52 ml
FDF TFF 3,861,810,75 ml
FA 3,003,630,58 ml
Gharama za mechi 7,723,621,52 ml


Ndugu mashabiki tiketi feki nazo zilitawala mchezo, tafadhali kuwa makini unaponunua tiketi hakikisha ina mihuri miwili kutoka timu zote mbili zinazohusika na mchezo husika.

  

Related Posts:

0 comments: