Tuesday, 11 February 2014

LIGI KUU ENGLAND: CHELSEA YABANWA NA WEST BROM ALBION ANGALIA MAOTOKEA YA MECHI ZA JANA


>>LEO NI ARSENAL v MAN UNITED!!

MATOKEO:
Jumanne Februari 11
Cardiff 0 Aston Villa 0
Hull 0 Southampton 1
West Ham 2 Norwich 0
West Brom 1 Chelsea 1
article-0-1B66A68000000578-323_636x382-1

Uongozi wa Chelsea kileleni mwa Ligi Kuu England 
upo hatarini hii Leo kwani ikiwa Arsenal au 
Manchester City zitashinda Mechi zao basi wataitoa kileleni 
baada ya Chelsea Jana Usiku kutoka Sare ya Bao 1-1 
na West Bromwich Albion huko The Hawthorns.
Ivanovic aliipa Chelsea Bao lao katika Dakika ya 45 na Victor Anichebe kusawazisha kwa West Brom katika Dakika ya 87.
Nae Fonte aliifungia Southampton Bao moja na la 
ushindi kwenye Dakika ya 69 walipoitungua Hull City Bao 1-0.
Bao za Collins Dakika ya 84 na Diame Dakika ya 90 
ziliwapa West Ham ushindi wa Bao 2-0 walipocheza 
na Norwich City Uwanjani Upton Park.




RATIBA:
[Saa za Bongo]
Jumatano Februari 12
2245 Arsenal v Man United
2245 Everton v Crystal Palace
2245 Man City v Sunderland
2245 Newcastle v Tottenham
2245 Stoke v Swansea
2300 Fulham v Liverpool

MSIMAMO:
NA TIMU P W D L F A PTS GD
1 Chelsea FC 26 17 6 3 48 21 27 57
2 Arsenal FC 25 17 4 4 48 26 22 55
3 Man City 25 17 3 5 68 27 41 54
4 Liverpool 25 15 5 5 63 30 33 50
5 Tottenham 25 14 5 6 32 32 0 47
6 Everton FC 25 12 9 4 37 26 11 45
7 Man United 25 12 5 8 41 31 10 41
8 Southampton 26 10 9 7 37 29 8 39
9 Newcastle 25 11 4 10 32 34 -2 37
10 Swansea 25 7 6 12 32 35 -3 27
11 Hull City 26 7 6 13 25 31 -6 27
12 West Ham 26 7 7 12 28 33 -5 28
13 Aston Villa 26 7 7 12 27 36 -9 28
14 Stoke City 25 6 8 11 26 40 -14 26
15 Crystal Palace 25 8 2 15 18 34 -16 26
16 Norwich City 26 6 7 13 19 39 -20 25
17 West Brom 26 4 12 10 30 38 -8 24
18 Sunderland 25 6 6 13 25 38 -13 24
19 Cardiff City 26 5 7 14 19 44 -25 22
20 Fulham FC 25 6 2 17 24 55 -31 20
RATIBA MECHI ZIJAZO:
Jumamosi Februari 22
1545 Chelsea v Everton
1800 Arsenal v Sunderland
1800 Cardiff v Hull
1800 Man City v Stoke
1800 West Brom v Fulham
1800 West Ham v Southampton
2030 Crystal Palace v Man United
Jumapili Februari 23
1630 Liverpool v Swansea
1630 Newcastle v Aston Villa
1900 Norwich v Tottenham
                                        RATIBA MECHI ZA LEO 
 
                                    Chanzo, bbcsports.com

Related Posts:

0 comments: