Yani toka jana kuna watu hawaiachi Arsenal, wamesambaza na hizi picha na kumjumuisha Moyes
Yani
zile goli 5 walizofungwa Arsenal jana zimesababisha jina la timu hii
litajwe na kuandikwa mara nyingi sana kwenye mitandao ya kijamii ikiwa
ni pamoja na kuambatanishwa na pichaz zikiwemo hizi.
0 comments:
Post a Comment