Thursday, 20 February 2014

HIZI NDIO PICHA ZINAZOMUONYESHA DIAMOND ALICHOENDA KUFANYA SOUTH AFRIKA

9bd633ec98db11e3935f12621337951f_8
Siku chache kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali kama Instagram,Facebook na Twitter,Diamond  Platnumz amekua akipost picha nyingi akiwaAfrika kusini na wasanii mbalimbali akiwemo Dbanji.

Maswali yalikuwa mengi kichwani na mara nyingi tunaamini wasanii wanapokutana pengine wana mipango ya kushirikiana kwenye kazi za kisanii ama wana ukaribu mkubwa unaowafanya kuwa pamoja.
mtandao huu umefatilia na kugundua safari ya Diamond South Africa ni moja kati ya miradi ya One Campaign nah ii ya sasa ni kupitia mradi wake wa Go Agric ambapo inahusu kufanya video na wimbo wa pamoja na zaidi ya wasanii 20 wa Afrika.
Video tayari imefanyika Johannesburg Afrika Kusini kwenye studio za M1 zinazomilikiwa na shirika la SABC,kwa Tanzania wasanii waliowakilisha ni AY na Diamond,wasanii wengine waliopo kwenye mradi huo ni pamoja na D’Banj,Femi Kuti wa Nigeria,Victoria Kimani wa Kenya na wengine.
Hizi ni pichaz wakati wanarekodi video ya wimbo huo.
eb228b9898d211e38bdf120a32098749_7
b3ea320c955311e3b0f60e66e390f9ea_8
b3d8646e98d211e3a7dc1272c310b776_7
777ed01e98d411e3a0f41253bccf28e0_7

BgwYqB2IUAAXVQ8

Related Posts:

0 comments: