Thursday, 13 February 2014

ENGLAND: WIKIENDI HII HAMNA MECHI YA LIGI YA ENGLAND NI MECHI ZA FA CUP!!

>>FA CUP –BIGI MECHI: MAN CITY v CHELSEA, ARSENAL v LIVERPOOL!!
>>LIGI KUU ENGLAND KUREJEA DIMBANI FEBRUARI 22!
LIGI KUU ENGLAND Wikiendi hii itakuwa ‘Vakesheni’ na kupisha Mechi za Raundi ya Tano za FA CUP ambazoFA_CUP_2013-2014zitachezwa Jumamosi, Jumapili na Jumatatu.
Gumzo kubwa kwa Mechi hizi za FA CUP ni zile Bigi Mechi mbili ambapo Jumamosi, huko Etihad, Manchester City wataikaribisha Chelsea huku wakikumbuka kufungwa na Chelsea Bao 1-0 Wiki iliyopita kwenye Mechi ya Ligi na Jumapili, ndani ya Emirates, Arsenal, watawaalika Liverpool ambao Jumamosi iliyopita waliinyuka Arsenal 5-1 huko Anfield kwenye Mechi ya Ligi.
FA CUP
Raundi ya Tano
RATIBA:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Februari 15
1545 Sunderland v Southampton
1800 Cardiff v Wigan
1800 Sheff Wed v Charlton
2015 Man City v Chelsea
Jumapili Februari 16
1630 Everton v Swansea
1800 Sheff Utd v Nottm Forest
1900 Arsenal v Liverpool
Jumatatu Februari 17
2245 Brighton v Hull
+++++++++++++++++++++++
Mechi nyingine ambazo zitakutanisha Timu za Ligi Kuu pekee ni zile za Sunderland v Southampton na Everton v Swansea.
Kabla kurudi tena kwenye kimbembe cha Ligi Kuu, Arsenal na Man City, katikati ya Wiki ijayo zina mitanange mikali ya UEFA CHAMPIONZ LIGI watakapocheza Mechi zao za Kwanza za Raundi ya Mtoano ya Timu 16 na wote wataanzia Uwanja wao wa Nyumbani.
Jumanne Februari 18, Man City watakuwa Etihad kuikaribisha Barcelona na Jumatano Februari 19, Arsenal wako Emirates kucheza na Bayern Munich, ambao ndio Mabingwa Watetezi wa UEFA CHAMPIONZ LIGI.
Ligi Kuu itarudi tena kilingeni Jumamosi Februari 22 kwa Mechi 7 na Jumapili Februari 23 zipo Mechi 3.
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA MECHI ZIJAZO:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Februari 22
1545 Chelsea v Everton
1800 Arsenal v Sunderland
1800 Cardiff v Hull
1800 Man City v Stoke
1800 West Brom v Fulham
1800 West Ham v Southampton
2030 Crystal Palace v Man United
Jumapili Februari 23
1630 Liverpool v Swansea
1630 Newcastle v Aston Villa
1900 Norwich v Tottenham
MSIMAMO:
NA TIMU P W D L F A GD PTS
1  Chelsea 26 17 6 3 48 21 27 57
2  Arsenal 26 17 5 4 48 26 22 56
3  Man City 25 17 3 5 68 27 41 54
4 Liverpool 26 16 5 5 66 32 34 53
5 Tottenham 26 15 5 6 36 32 4 50
6 Everton 25 12 9 4 37 26 11 45
7 Man United 26 12 6 8 41 31 10 42
8 Southampton 26 10 9 7 37 29 8 39
9 Newcastle 26 11 4 11 32 38 -6 37
10 Swansea City 26 7 7 12 33 36 -3 28
11 West Ham 26 7 7 12 28 33 -5 28
12 Aston Villa 26 7 7 12 27 36 -9 28
13 Hull 26 7 6 13 25 31 -6 27
14 Stoke 26 6 9 11 27 41 -14 27
15 Crystal Palace 25 8 2 15 18 34 -16 26
16 Norwich 26 6 7 13 19 39 -20 25
17 West Brom 26 4 12 10 30 38 -8 24
18 Sunderland 25 6 6 13 25 38 -13 24
19 Cardiff 26 5 7 14 19 44 -25 22
20 Fulham 26 6 2 18 26 58 -32 20

Related Posts:

0 comments: