Pichaz za waziri Magufuli akisimamia ujenzi wa daraja la Dumila lililosombwa na maji.
Unaambiwa
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli amepiga kambi mkoani Morogoro
ili kuusimamia ujenzi wa Daraja la Dumila ambalo ni kiunganishi cha
barabara ya Dodoma – Morogoro ambalo lililosombwa na mvua kubwa
iliyonyesha usiku wa kuamkia January 22 2014.
Kusombwa
na maji kwa daraja hilo kumesababisha magari kutopita kwa yale yalitoka
upande wa Dodoma na Morogoro,Kwa barabara hii hakuna njia nyingine
mbadala zaidi ya hiyo.
0 comments:
Post a Comment