Maadhimisho
ya miaka 50
ya jeshi la
kujenga taifa JKT
Ruvu yameadhimishawa leo
mlandizi nje kidogo
ya jiji la Dar es salaam
huku kikosi hicho
kikijivunia mafanikio makubwa
ndani ya miaka
hiyo ikiwa ni
pamoja na kikosi
hicho ndicho kikosi
pekee ambacho kimetoa
amili jeshi mkuu
ambaye ni Rais
wa jamuhuri ya
muungano wa Tanzania
mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete pamoja na
Mama Salma kkwete.
Akizungumza
katika maadhimisho hayo
mkuu wa kikosi
kamanda luten kanal
Charles Mbuge alisema
kuwa hadi sasa
wanamengi ya kujivunia
katika kikosi hicho
ambayo ni pamoja
na kuanzisha miradi
mbalimbali ya ufugaji
wa ng’ombe na
kuku wa kisasa.
Naye
mkuu wa JKT
meja jenerali Raphaeli
Muhuga ambaye ndiye
alikua mgeni rasmi
katika maadhimisho hayo
lisema kuwa kikosi
cha JKT Ruvu
kimeweza kuzalisha mali
kwa ubunifu mkubwa
pamoja na kubuni
miradi mingi na
hakuna mradi ambao
haujabuniwa katika kikosi
hicho na kuongeza
kuwa kikosi cha
Ruvu kimekuwa ni
kioo kwa taifa
kutokana na kufanya
shughuli nyingi ikiwa
pamoja na shughuli
za kitamaduni.
Aidha
Meja jenerali Muhuga
katika maadhimisho hayo
amefanya uzinduzi wa
bohari la kulia
chakula,saloon pamoja na
chumba cha kopyuta
na kuahidi kutoa
kopyuta 5.
Pamoja
na hayo naye
muanzilishi wa JKT
Ruvu Brigedia Jeneral
mstaafu Dismas Msilu
alisema kuwa uwajibikaji wa
vijana wa sasa
unaridhasha kutokana na
vijana wengi wa
sasa ni wasomi
kwahiyo hata namna
ya kufundisha ni
tofauti na ile
ya awali ambapo
wengi walikuwa ni
vijana waliomaliza darasa
la saba na
la nane na
kusema kuwa kwa
wakati huo ilimbidi
aende nao kwa
utaratibu katika mafunzo.
Hata
hivyo mstaafu Brigedia
jeneral Dismas Msilu
alizungumzia swala la
kurudisha kwa mafunzo
ya JKT kwa
vijana na kusema
kuwa hali hiyo
ilivyorudishwa inasaidia sana
kwa vijana kuwawek a
mahalai pamoja na
kuwafundisha siasa na
kupata elimu ya
namna ya kujitegemea
CHANZO Na Kenneth John wa matukiodaima.com,Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment