Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Elnest
Mangu,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Elnest
Mangu,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment