Saturday, 25 January 2014

AJALI YA NDEGE YATOKEA PEMBA ZANZIBAR ANGALIA HAPA

Picture
Ndege ya shirika la Zan Air imeanguka Pemba jioni ya jana ikiwa imebeba jumla ya abiria 19, miongoni mwa abiria hao pia alikuwamo Waziri wa Habari na Katiba wa Zanzibar, Mhe. Abubakar Khamis. Abiria wote wametoka salama. (picha, maelezo: SufianiMafoto blog)

 

0 comments: