MJOMBA
wa Rais Barack Obama wa Amerika, Bw Onyango 'Omar’ Obama, ameruhusiwa
aendelee kuishi nchini humo na Mahakama ya Uhamiaji kufuatia kesi ya
kufukuzwa kwake iliyofanyika Jumanne.
Jaji wa Uhamiaji Amerika, Bw Leonard Shapiro alimruhusu Bw Onyango mwenye umri wa miaka 69 aendelee kuishi nchini humo na kumzuia kuhamsishwa Kenya, kwa kusema ametimiza mahitaji ya kukabidhiwa kibali cha 'Green Card’.
Kwenye uamuzi wake, Jaji huyo alisema anaamini Bw Onyango ni muungwana, jirani mwema na hulipa ushuru inavyohitajika.
Jaji Shapiro alisema anatumia sheria inayoruhusu wahamiaji wasiotambulika na taifa lolote wawe wakazi wa kudumu ikiwa waliwasili Amerika kabla 1972, wakaendelea kuishi huko na wenye tabia njema.
Bw Onyango amekuwa akiishi Amerika kwa miaka 50 sasa, kwani aliwasili huko 1963.
Alikuwa ameamrisha kuhama 1992 ingawa alikaidi agizo hilo na akabaki nchini humo.
Haikujulikana alikuwa bado yuo Amerika hadi alipokamatwa kwa kuendesha gari akiwa

0 comments:
Post a Comment