Thursday 17 April 2014

KINANA AMALIZA ZIARA WILAYA YA MLELE


1._Kinana__akikabidhi_kadi_kwa_mmoja_wa_wanachama_wampya_wa_CCM__katika_kikao_cha_shina_kilichofanyika_nyumbani_kwa_balozi_wa_shina_namba_tano_tawi_la_Nsimbo_Joseph_Wavuu_49d03.jpg
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana  akikabidhi kadi ya CCM kwa mmoja wa wanachama wampya wa CCM Geofrey Mbwaga, katika kikao cha shina kilichofanyika nyumbani kwa balozi wa shina namba tano, tawi la Nsimbo, Joseph Wavuu, wilaya ya Mlele mkoani Katavi, leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo
3._Nape_akizungumza_na_Mzee_aarom_Kasilo_wakati_wa_kikao_kilichohudhuriwa_na_Kinana_nyumbani_kwa_balozi_wa_shina_namba_tano_tawi_la_Nsimbo_Joseph_Wavuu_0c1d4.jpg
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Mjumbe wa Shina namba tano, Mzee Aarom Kasilo, wakati wa kikao kilichohudhuriwa na Kinana nyumbani kwa balozi wa shina hilo, tawi la Nsimbo, Joseph Wavuu, leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo
7._Kinana_akikagua_ujenzi_wa_kisima_cha_maji_Kijiji_cha_Nsimbo_3_497f2.jpg
6._Kinana_akishiriki_kufyatua_matofali_ujenzi_wa_kisima_cha_maji_Kijiji_cha_Nsimbo_3_04529.jpg
  Kinana akibeba tofali baada ya kulifyatua waliposhiriki kufyatua matomali kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa kisima cha maji wa kijiji cha Mwenge, katika Halmashauri ya Nsimbo, leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo 

 

0 comments: