Thursday 17 April 2014

JK APOKEA TUZO YAKE YA KUWA KIONGOZI BORA AFRIKA

jk_259fa.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea Tuzo ya Utumishi Bora wa Umma Barani Afrika kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe (kulia) kufuatia mchango mkubwa alioutoa  kwa maendeleo ya wananchi wa Tanzania na Bara la Afrika.
nj_97ac8.jpg

. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe (kulia) akimkabidhi  Rais Jakaya Kikwete (kushoto) cheti kilichoambatana na Tuzo ya Utumishi Bora wa Umma Barani Afrika  leo Ikulu jijini Dar es salaam.
lk_04977.jpg
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe (kulia) akisoma ujumbe ulioandikwa kwenye cheti kilichoambatana na Tuzo ya Utumishi Bora wa Umma Barani Afrika aliyokabidhiwa Rais Jakaya Kikwete leo Ikulu jijini Dar es salaam.

0 comments: