Monday 28 April 2014

RAIS KIKWETE USO KWA USO NA PINTO MWENYEKITI WA TASWA

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), ambaye pia ni mmiliki wa magazeti ya Jambo Leo na Staa Spoti, Juma Pinto wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Ikulu, Dar es Salaam juzi..
                                  PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

0 comments: