Friday 25 April 2014

HII NDIO HALI YA USAFI ILIVYO SOKO LA NDIZI MABIBO



20140425_084937_f816d.jpg
20140425_084947_c9cd1.jpg
Hapa ndipo Ndizi kutoka kila mkuo wa Tanzania hushwa kwa ajili ya kusambazwa kila pembe ya Dar es Salaam eneo la Mabibo maarufu kwa jina la Mahakama ya Ndizi ,Lakini hadha kubwa wanayoipata wafanyabiashara wa Ndizi katika soko hili ni kutokuwa na mazingira bola ya kufanyia kazi ikizingatiwa kwamba ndizi ni chakula kama vilivyo vyakula vingine, Kwani soko hilo limejaa matope ambayo yamefikia hatua ya kutoa funza. 
Wafanyabiashara katika soko hili wanasema hutoa ushuru wa shilingi elfu kumi na tano kila siku lakini wahusika wanashindwa kuwapatia mazingila bora ya kufanyia biashara.
Hizi ni baadhi tu ya picha zikionyesha muonekano wa soko hilo kwa ndani leo tarehe 25 mwezi wa 4 mwaka 2104.(AWADH IBRAHIM)

0 comments: