Friday 25 April 2014

HADHA YA FOLENI DAR ES SALAAM KUSAHAULIKA HIVI KARIBUNI

20140425_094805_3e3b6.jpg
Tunategemea baada ya kukamilika kwa mladi wa Barabara za Magari yaendayo kwa kasi hadha ya foreni ambayo ni tatizo kubwa katika Jiji la Dar es salaam itapungua au itakwisha kabisa kwani wakazi wa Dar es salaam wamekuwa na matumaini makubwa hasa kutokana na mladi huo kuwa na spidi kali kama inavyoonekana katika picha leo mchana.(AWADH IBRAHIM)

0 comments: