Saturday 26 April 2014

PICHA NA MATUKIO KATIKA UWANJA WA UHURU KWENYE MAAZIMISHO YA MUUNGANO LEO

 
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akiingia kwenye uwanja wa Uhuru kuwaongoza watanzania katika maadhinimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania yanayofanyika kila mwaka Aprili 26 kusherehekea muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili mwaka 1964 watanzania wengi wamejitokeza katika maadhimisho hayo wakiwemo viongozi mbalimbali na marais wa nchi mbalimbali za Afrika na wawakilishi wa nchi mbalimbali pia katika mataifa mbalimbali ya ulaya, Fullshangwe iko kwenye eneo la tukio ikikuletea moja kwa moja matukio  na maelezo zaidi ya picha hizi yatakujia baadae kwa sasa endelea kuangalia picha  2 3 4 5 7 8 9 10 11 12 14 15 16 17 18 19 20    CHANZO  FULLSHANGWE- BLOG

0 comments: