Wednesday 30 April 2014

AGERA SUGAR KUTAFUTA MSAIDIZI WA THEM FELIX NJE YA NCHI

 
DSC04328 
Na Baraka Mpenja wa , Dar es salaam
WAKATA miwa wa Kaitaba, `Wanankulukumbi` Kagera Sugar wanatarajia kufanya usajili makini ili kuendana na kasi ya ushindani katika mitanange ya ligi kuu soka Tanzania bara msimu ujao.
Murage Kabange, kocha msaidizi wa Kagera Sugar amebainisha mapungufu kadhaa katika kikosi chao na sasa wapo katika mipango ya kufanyia marekebisho.
“Kwanza majeruhi ya kudumu kwa baadhi ya wachezaji wa kikosi cha kwanza ni tatizo lilituathiri sana”.
“Pili ubutu wa safu ya ushambuliaji lilikuwa tatizo la kudumu kwa Kagera Sugar mpaka tunapozungumza hivi”.
“Tatu hatukuwa na wachezaji mbadala, kwahiyo kila inapotokea mchezaji muhimu anapata majeruhi, ilikuwa janga kwetu”.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com

0 comments: