Monday 28 April 2014

SERIKALI AITAMBUI UMUHIMU WA VINYOZI? HAPA KWETU TANZANIA?




20140428_111103_37400.jpg
Vinyozi ni watu muhimu katika jamii kwa sababu wao ndio huakikisha viongozi na watu muhimu katika nchi yeyote ile duniani wanakuwa katika muonekano unaopendeza wanapokuwa katika majukumu yao ya kila siku.
Lakini watu hao muhimu katika Jamii wanalalamika kwamba hawapewi kipaumbele katika nchi hii kiasi kwamba kazi yao kuchukuliwa kama  sio rasmi katika jamii. 
HABARI NA(AWADH IBRAHIM).

 

0 comments: