Thursday 24 April 2014

WAZIRI MKUU MHE. PINDA AZUNGUMZA NA WATUMISHI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO

 
PG4A6816 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na watumishi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino  ambao walitembelea Bunge  Maalum  la katiba kwa mwaliko wa mjumbe wa Bunge hilo Phortunata kubeja (wapili kushoto) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments: