Waziri wa Habari, vijana,
Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara akifuatilia hotuba mbalimbali
katika ufunguzi wa Kongamano la 9 la uhamaji wa mfumo wa utangazaji
kutoka analojia kwenda dijitali Afrika 2014 (DBSF)ulioanza leo jijini
Arusha. Katikati ni Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano kwa nchi
za Jumuia ya Madola (CTO), Tim Unwin akifuatiwa na Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof. John Nkomwa.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma, akizungumza kwenye mkutano.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof. John Nkomwa akizungumza.
Baadhi ya waalikwa ambao ni viongozi wa Vituo vya televisheni nchini Tanzania
Baadhi ya wajumbe wa bodi ya Wakurugenzi ya TCRA wakifuatilia mijadala katika kongamano hilo.
Waziri wa Habari, vijana,
Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara akifuatilia hotuba mbalimbali
katika ufunguzi wa Kongamano la 9 la uhamaji wa mfumo wa utangazaji
kutoka analojia kwenda dijitali Afrika 2014 (DBSF)ulioanza leo jijini
Arusha. Katikati ni Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano kwa nchi
za Jumuia ya Madola (CTO), Tim Unwin akifuatiwa na Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof. John Nkomwa.
Meneja Mawasiliano wa TCRA,
Innocent Mungy ambaye pia ndiye Mwendeshaji wa kongamano hilo, akiteta
jambo na Mkurugenzi wa Utangazaji wa TCRA, Habbi Gunze wakati wa
kongamano hilo leo.
Katibu
Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano kwa nchi za Jumuia ya Madola (CTO),
Tim Unwin akizungumza.
Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano kwa nchi za Jumuia ya Madola (CTO),
Tim Unwin akizungumza.
Waziri
wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara akitoa
hotuba kwa Niaba ya Makamu wa Rais wa Tanzania ambaye alipaswa kuwa
mgeni rasmi.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia hotuba ya Waziri wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo jijini Arusha leo.
Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akishikana mkono na Katibu
Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano la Jumuia ya Madola (CTO) Tim Unwin
(kulia) baada ya Waziri Mukangara kufungua kongamano la tisa la
mabadiliko ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF)
mjini Arusha jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma (katikati).
Meza
kuu katika picha mbalimbali za pamoja na washjiriki wote wa kongamano
hilo la 9 la CTO na Uhamaji wa mfumo wa utangazaji kutoka analojia
kwenda Dijitali.
Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akisalimiana na Katibu
Mtendaji wa Umoja wa mashirika ya Posta Afrika (PAPU), Younouss Djibrine
(kushoto) baada ya Waziri Mukangara kufungua kongamano la tisa la
mabadiliko ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF)
mjini Arusha leo. Wengine ni Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano
la Jumuia ya Madola (CTO) Tim Unwin (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma (wapili
kushoto).
Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akizungumza jambo na Katibu
Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano la Jumuia ya Madola (CTO) Tim unwin
(kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
Prof. John Nkoma (katikati) baada ya Waziri Mukangara kufungua
kongamano la tisa la mabadiliko ya mfumo wa utangazaji wa analojia
kwenda Dijitali (DBSF) mjini Arusha leo.
0 comments:
Post a Comment