Sunday, 2 February 2014

SERIE A: MECHI AS ROMA v PARMA YAVUNJIKA BAADA DAKIKA 8!

>>LEO USIKU JUVE YAIKWAA INTER MILAN, KUZIDI KUPAA KILELENI??
MECHI ya Serie A huko Italy ya hivi Jioni kati ya AS Roma na Parma iliyokuwa inachezwa StadioJUVE_UBINGWA Olimpico, Nyumbani kwa AS Roma, ilivunjwa baada ya Dakika 8 tu baada Uwanja kujaa maji kufuatia Mvua kubwa.
Refa Andrea De Marco aliisimamisha Mechi hiyo baada kuona Mpira hauchezeki.
AS Roma wapo Nafasi ya Pili Pointi 6 nyuma ya Vinara Juventus ambao baadae Usiku huu wapo kwao kucheza na Inter Milan.
RATIBA/MATOKEO:
Jumapili Februari 2
Atalanta 3 Napoli 0
Chievo Verona 0 Lazio 2
AS Roma v Parma [Mechi imevunjwa sababu ya Mvua]
Catania 3 Livorno 3
Sassuolo 1 Hellas Verona 2
2245 Juventus v Inter Milan
MSIMAMO-Timu za Juu:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Juventus FC
21
18
2
1
51
15
36
56
2
AS Roma
21
15
5
1
45
11
34
50
3
SSC Napoli
22
13
5
4
44
26
18
44
4
ACF Fiorentina
22
12
5
5
40
24
16
41
5
Hellas Verona
22
11
2
9
37
35
2
35
6
Inter Milan
21
8
9
4
38
24
14
33
7
Torino FC
22
8
9
5
35
28
7
33
8
Parma FC
21
8
8
5
32
27
5
32
9
SS Lazio
22
8
7
7
29
29
0
31
10
AC Milan
22
7
8
7
35
32
3
29
11
Genoa CFC
21
7
6
8
23
27
-4
27

Related Posts:

0 comments: