Monday, 17 February 2014

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MAOFISA WAKUU WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI.

  

1
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akitoa hotuba jana katika ukumbi wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano Mkuu wa Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika chuo hicho. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi. 6
Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya ndani, Mhe. Pereira Ame Silima kwenye ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika chuo cha taaluma ya Polisi Moshi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.

Related Posts:

0 comments: