Saturday, 15 February 2014

LA LIGA: BARCELONA YATWANGA R VALLECANO BAO 6-0, NA ATLETICO NAYO YASHINDA 3-0,


Screen Shot 2014-02-15 at 11.51.10 PM   

     
>>LEO REAL KUZIKAMATA??
MESSI_ASHANGILIA_GOLIMABINGWA Watetezi wa La Liga huko Spain, Barcelona, Jana Usiku wakicheza kwao Nou Camp, waliifumua Rayo Vallecano Bao 6-0 na kuendelea kukaa kileleni mwa Ligi wakifungana kwa Pointi na Atletico Madrid lakini wao wako juu kwa ubora wa Magoli.
Bao za Barca kwenye Mechi hiyo zilipachikwa na Neymar, Lionel Messi, Bao 2, Pedro, Sanchez na Adriano.
Nao, Atletico Madrid, mapema hiyo Jana waliichapa Real Valladolid Bao 3-0 kwa Bao za Raul Garcia Escudero, Diego Costa na Diego Godin.
Leo hii Real Madrid, ambao wako Ugenini kucheza na Getafe, wana nafasi ya kuzikamata Barca na Atletico ikiwa watashinda lakini watamkosa Supastaa wao Cristiano Ronaldo ambae atakuwa akitumikia Mechi ya Pili ya Kifungo chake cha Mechi 3.
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]
Ijumaa Februari 14
Elche CF 0 Osasuna 0
Jumamosi Februari 15
Atletico de Madrid 3 Real Valladolid 0
Levante 1 UD Almeria 0
FC Barcelona 6 Rayo Vallecano 0
Villarreal CF 0 Celta de Vigo 2
Jumapili Februari 16
1400 Granada CF v Real Betis
1900 Getafe CF v Real Madrid CF
2100 Athletic de Bilbao v RCD Espanyol
2300 Sevilla FC v Valencia
Jumatatu Februari 17
2400 Malaga CF v Real Sociedad
MSIMAMO-Timu za Juu:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
FC Barcelona
24
19
3
2
69
17
52
60
3
Atletico Madrid
24
19
3
2
59
16
43
60
2
Real Madrid CF
23
18
3
2
65
24
41
57
4
Athletic Bilbao
23
13
5
5
42
28
14
44
5
Villarreal CF
24
12
4
8
44
29
15
40
6
Real Sociedad
23
10
7
6
42
34
8
37
7
Sevilla FC
23
8
7
8
42
41
1
31
8
Valencia
23
9
4
10
36
35
1
31

Related Posts:

0 comments: