Victor Moses ndie aliefunga Bao la Kwanza katika Dakika ya 26 alipounganisha pasi ya Luis Suarez.
Kipindi cha Pili Bournemouth walinyimwa
Penati ya wazi pale Martin Kelly alipomvuta Jezi Simon Francis lakini
ndani ya Dakika baada tukio hilo, kwenye Dakika ya 60, Daniel Sturridge
akaipa Liverpool Bao la Pili.
VIKOSI:
AFC Bournemouth: Camp, Francis, Elphick, Ward, Daniels, Ritchie, O'Kane, Arter, Pugh, Surman, Grabban.
Akiba: Allsop, Cook, Pitman, Harte, MacDonald, Fraser, Rantie.
Liverpool FC: Jones, Kelly, Toure, Skrtel, Cissokho, Moses, Gerrard, Henderson, Coutinho, Suarez, Sturridge.
Akiba: Alberto, Aspas, Mignolet, Sterling, Ibe, Flanagan, Sama.
Refa: Lee Probert
FA CUP
RATIBA/MATOKEO:
Raundi ya 4
Ijumaa Januari 24
Arsenal 4 Coventry 0
Nottingham Forest 0 Preston 0
Jumamosi Januari 25
[Saa za Bongo]
Bournemouth 0 Liverpool 2
[Zote Saa 18:00]
Birmingham v Swansea
Manchester City v Watford
Wigan v Crystal Palace
Rochdale v Sheffield Wednesday
Southend v Hull City
Port Vale v Brighton
Huddersfield v Charlton or Oxford
Southampton v Yeovil
Bolton v Cardiff
Sunderland v Kidderminister
[Saa 20:30]
Stevenage v Everton
Jumapili Januari 26
16:00 Sheffield United v Fulham
18:30 Chelsea v Stoke
THE FA CUP WITH BUDWEISER
MSIMU 2013-14
TAREHE ZA RAUNDI:
-RAUNDI YA 3: Jumamosi Januari 4 [KLABU ZA LIGI KUU ENGLAND HUANZA]
-RAUNDI YA 4: Jumamosi Januari 25
-RAUNDI YA 5: Jumamosi Februari 15
-RAUNDI YA 6: Jumamosi Machi 8
-NUSU FAINALI: Jumamosi Aprili 12 & Jumapili Aprili 13
-FAINALI: Jumamosi Mei 17
0 comments:
Post a Comment