MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

Tuesday, 31 December 2013

MWAKA MPYA WA ANZA VIBAYA MKOANI IRINGA KWA AJARI MBAYA NI DAKIKA 20 BAADA MWAKA MPYA

  Hii ni ajali mbaya ya  piki piki iliyotokea  eneo la  Ilala katika Manispaa ya  Iringa  ikiwa ni dakika 20 baada ya  kuaga mwaka  2013 na kuukaribisha  mwaka  2014  Hawa ni majeruhi wa ajari hiyo kushoto...

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UTAMADUNI NA HABARI ATEMBELEA TBC

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akisaini kitabu cha wageni wakati wa ziara ya kutembelea shirika hilo leo Jijini Dar es Salaam,waliokaa kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bw.Assah Mwambene na Kulia...

UZINDUZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA BENK ZA KIISLAM ZANZIBAR

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akikata Utepe kuashiria uzinduzi wa Makao Makuu ya Benk ya Kiislamu ya PBZ na Tawi Jipya huko katika mtaa wa Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.   Mwananchi ...

DK SHEIN ATOA SALAMU ZA MWAKA MPYA 2014

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa salamu za mwaka mpya wa 2014 kwa wananchi wa Zanzibar,pia amewataka wananchi kudumisha Umoja na kulinda amani...

TMA YASEMA KUWA KUANZIA JANUARI HADI MACHI MVUA ZITAKUWA WASTANI KUSINI MWA NCHI

Mamlaka ya hali hewa Tanzania imesema kuwa kwa kipindi cha kuanzia mwezi wa Januari hadi Machi...