Thursday 13 June 2013

MSANII LANGA AFARIKI DUNIA LEO

 
clip_image001Langa (msanii wa Hip Hop Tanzania) amefariki dunia leo hii.Katika hospitali ya Mhimbili kwa kile kina chosadikika ni malaria.
Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui.
Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea.
Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na witness na sara ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa bongo flava nchini Tanzania.
Mungu amrehemu.

0 comments: