Saturday 15 June 2013

MASELE APATA AJALI NA YUPO HOSPITALI








 [clip_image003%255B8%255D.jpg]


Masele ambaea ni msaanii wa maigizo amepata ajali jana  akiwa na jamaa yake aitwae Nasor aka cholo
kwa sasa masele yupo mabawa kituo  polisi na cholo yupo Bomba hospital  
kataka ajali hiyo hakuna aliyefariki ila  wote  wamepata majeraha madogomago 
taarfa hii nikulingana mitaandao wa kijamii  

KWA HABARI ZAIDI ENDELEA KUTIRIA HABARII HII KTK MTANDAO HU


 chanzo djchoka fb pg

0 comments: