Wednesday 12 June 2013

KIKAO CHA BARAZA LA WAWAKILISHI CHA BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR CHAANZALEO

 

Kwa mujibu wa Taarifa iliotolewa na Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar  Yahya Khamis Hamad, kikao hicho cha  Mkutano wa Kumi na Mbili wa Baraza la Nne la Wawakilishi amesema limepangwa kuaza leo tarehe 12-6-2013. saa tatu asubuhi.

Amesema shughuli za Baraza katika Mkutano huo zitakuwa kama ifuatavyo.

 A.   Maswali na Majibu 149

 B.  Majadiliano ya Bajeti ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Mwaka 2013/2014

 C  Miswada  ya Serekali 
      
     ( i ) Mswada wa Fedha  (Finance Bill)
     ( ii) Mswada wa Sheria ya Kuidhinisha Matumizi ya Serekali kwa Mwaka wa Fedha    2013/2014p     (Appropriation Bill)

 D  Na mengineyo kwa Ruhusa ya Spika.  

Katika kikao hicho kutakuwa na mikutano ya Semina kuwa Wajumbe wa Baraza .

Semina ya Mihimili ya Dola (Executive and House of Representatives ) itakayofanyika katika ukumbi wa bara tarehe 13-14Juni 2013.
Semina juu ya Dhana na Uchambuzi wa Bajeti. terehe 15-16-juni 2013.

0 comments: