Sunday 16 June 2013

GREEN GUARD WATUHUMIWA KUJERUHI VIONGOZI WA CHADEMA (MOROGORO)

Picture
Taarifa ambazo zimepatikana kwenye mitandao jamii zinaelezwa kuwa, jana usiku katika kata ya Minepa jimbo la Ulanga Magharibi, vijana waliosadikiwa kuwa wa “green guard” waliwavamia viongozi wa CHADEMA na kuwajeruhi Mwenyekiti wa Jimbo bw. Kibam Ally Mohammed (aliyevaa shati ya michirizi), 
 
Katibu wa Jimbo bw.
 Lucas Lihambalimo (aliyevaa shati jekundu) na Bw. Severin Matanila, Katibu Mwenezi tawi la Minepa (aliyekaa, mwenye bandeji), ndiye mlinzi wa mgombea

Source: wavuti  blog

0 comments: