Meneja
Uhusiano na Masoko kutoka Mfuko wa Pensheni wa PPF Bi. Lulu Mengele
akiongea na waandishi wa Habari( Hawapo Pichani) kuhusu wastaafu kwenda
kuhakiki taarifa za mafao katika Ofisi za Mfuko huo, wakati wa Mkutano
uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Frank
Mvungi.
Baadhi
ya waandishi wa Habari waliohudhuria Mkutano huo wakimsikiliza Meneja
Uhusiano na Masoko kutoka Mfuko wa Pensheni wa PPF Bi. Lulu Mengele
wakati wa Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO)
Jijini Dar es Salaam.(Picha na Georgina Misama).
0 comments:
Post a Comment