NYOTA
wa zamani wa soka la Ujerumani, Stefan Effenberg ameonesha wasiwasi
wake kama falsafa ya Pep Guardiola itaisaidia Bayern Munich kutwaa
ubingwa wa UEFA wakati huu ambapo mchezaji muhimu Frank Ribery yupo
katika kiwango cha chini.
The
Barvarians walipoteza nusu fainali ya kwanza kwa bao 1-0 dhidi ya Real
Madrid wiki iliyopita uwanja wa Santiago Bernabeu na wameshuka kiwango
tangu walipotawazwa mabingwa wa Bundesliga mwezi machi mwaka huu.
Effenberg
anaamini falsafa ya sasa ya Bayern ya kupiga pasi nyingi haikuweza
kuwasaidia Bernabeu na ana wasiwasi katika mechi ya leo ambapo wachezaji
muhimu wanashindwa kuonesha makali yao kama msimu uliopita.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment