Rais
Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na mmoja wa wagonjwa watoto
waliofanyiwa upasuaji kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo April 27,
2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha
China cha National People’s Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto)
wakioneshwa moja ya vifaa vya kisasa vya kuchunguzia maradhi kwenye
kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo April 27, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha
China cha National People’s Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto)
wakiangalia baadhi ya wagonjwa waliofanyiwa upasuaji kwenye kituo kipya
na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya
kukifungua rasmi leo April 27, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha
China cha National People’s Congress Mhe. Chen Changzhi wakipata maelezo
ya utendaji wa mashine katika chumba cha wagonjwa mahututi kwenye
kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo April 27, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho kikwete akimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa chama
tawala cha China cha National People’s Congress Mhe. Chen Changzhi
(kushoto) baada ya uzinduzi rasmi wa kituo kipya na cha kisasa cha Moyo
katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili rasmi leo April 27, 2014.
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment