Rais
wa Zanzibr na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Vijana
Wanawake na Watoto,katika Mkutano wa Utekelezaji Mapango kazi za Wizara
hiyo katika kipindi cha robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika
ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja jana.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

Baadhi
ya maofisa wa Idara mbali mbali za Wizara ya Ustawi wa Jamii Vijana
Wanawake na Watoto wakimsikiliza Katibu Mkuu Bi Asha Abdalla,alipokuwa
akiwasilisha taarifa katika mkutano wa Utekelezaji Mapango kazi za
Wizara hiyo katika kipindi cha robo mwaka kutoka Julai -Machi
2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja jana,chini ya
MwenyekitiRais wa Zanzibr na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment