Mwenyekiti wa bodaboda mkoani mbeya bw VICENTI MWASHOMA |
Baadhi ya pkipipki (bodaboda)zikiwa zimepaki walipokuwa kwenye kikao picha na maktaba |
Ni madreva bodaboda wakiwa kwenye kikao picha na makitaba |
MBEYA
Baadhi ya abiria wanaotumia usafiri wapikipiki maarufu kama bodaboda mkoani mbeya wa kataa kutumia
kofia za kichwani maarufu kama element
Wakiongeana namtandao huu wa mbeya greenewsblog baadhi ya abiria hao ameseama kuwa kufia hizo nichafu
sana kutona kwa kutumiwa na watu wengi ,hali ambayo huweza kusababisha magonjwa
Wameongeza Kuwa
licha ya kuombikiza magonjwa madereva bodaboda wanata kiwa kuwa wasafi katika
kazi zoa ili waweze kuboresha kazi hiyo
Kwaupande
wake mwenyekiti wa waendesha pikipiki (bodaboda )mkoa wa mbeya VICENT
MWASHOMA amesemakuwa swala hilo linashughuli
kiwa ili kuweza kuandoa adha hiyo
Hivyo ame waomba
abria wanaotumia usafiri huo kuwa wawe wavumilivu kwapindi hichi ambacho wanatafuta
ufumbuzi wa watatizo hilo
0 comments:
Post a Comment