Hapa
ndipo Ndizi kutoka kila mkuo wa Tanzania hushwa kwa ajili ya kusambazwa
kila pembe ya Dar es Salaam eneo la Mabibo maarufu kwa jina la Mahakama
ya Ndizi ,Lakini hadha kubwa wanayoipata wafanyabiashara wa Ndizi katika
soko hili ni kutokuwa na mazingira bola ya kufanyia kazi ikizingatiwa
kwamba ndizi ni chakula kama vilivyo vyakula vingine, Kwani soko hilo
limejaa matope ambayo yamefikia hatua ya kutoa funza.
Wafanyabiashara
katika soko hili wanasema hutoa ushuru wa shilingi elfu kumi na tano
kila siku lakini wahusika wanashindwa kuwapatia mazingila bora ya
kufanyia biashara.
Hizi ni baadhi tu ya picha zikionyesha muonekano wa soko hilo kwa ndani leo tarehe 25 mwezi wa 4 mwaka 2104.(AWADH IBRAHIM)
0 comments:
Post a Comment