>>TIMU ZAMUENZI MADIBA, ZAVAA 46664!!
BRAZIL, Wenyejji wa Fainali za Mwaka huu za Kombe la Dunia Mwezi Juni, Leo huko FNB Stadium,
Johannesburg,
wamewanyuka Wenyeji wao South Africa Bao 5-0 kwenye Mechi ya Kirafiki
ambayo pia ilkuwa ya kumuenzi Kiongozi Marehemu Nelson Mandela ambapo
Bafana Bafana walivaa Jezi zenye Namba 46665, Namba ya ‘Mfungwa’ Madiba
alipokuwa Jela, na Brazil kuingia Kipindi cha Pili wakibadili Jezi zao
za kawaida za Njano na kuvaa Bluu huku wakiwa na Utepe Mkononi wenye
Namba 46664.
MAGOLI YA BRAZIL:
-Dakika ya 10 Oscar Dos Santos
-41 Neymar Da Silva
-46 Neymar Da Silva
-79 Fernandinho
-90 Neymar Da Silva
Matokeo haya ni tofauti kabisa na Mechi
za nyuma za Brazil na South Africa ambazo Brazil amekuwa akishinda Bao
1-0 katika Mechi 4 zilizopita.
VIKOSI VILIVYOANZA:
Bafana Bafana: Williams, Ncongca, Matlaba, Khumalo, Nthethe, Furman, Jali, Serero, Claasen, Parker, Rantie
Brazil: Cesar, Rafinha, Thiago Silva, David Luiz, Marcelo, Oscar, Fernandinho, Paulinho, Hulk, Fred, Neymar
MECHI za KIMATAIFA KIRAFIKI
RATIBA/MATOKEO:
[Muda ukitajwa ni Bongo Taimu]
Jumatano Machi 5
Malawi 1 Zimbabwe 4
Mozambique 1 Angola 1
Mauritania 1 Niger 1
Zambia 2 Uganda 1
Congo 0 Libya 0
Japan 4 New Zealand 2
India 2 Bangladesh 2
Burundi 1 Rwanda 1
Russia 2 Armenia 0
Georgia 2 Liechtenstein 0
Iran 1 Guinea 2
Lithuania 1 Kazakstan 1
Azerbaijan 1 Philippines 0
Bulgaria 2 Belarus 1
Burkina Faso 1 Comoro 1
Hungary 1 Finland 2
Greece 0 South Korea 2
Albania 2 Malta 0
20:00 Algeria Vs Slovenia
South Africa 0 Brazil 5
Montenegro 1 Ghana 0
20:30 Israel Vs Slovakia
20:30 Bosnia Vs Egypt
20:30 Czech Republic Vs Norway
21:00Namibia Vs Tanzania
21:00 Senegal Vs Mali
21:00 Cyprus Vs Northern Ireland
21:00 Macedonia Vs Latvia
21:00 Andorra Vs Moldova
21:00 Colombia Vs Tunisia
21:30 Luxembourg Vs Cape Verde
21:30 Turkey Vs Sweden
22:00 Morocco Vs Gabon
22:00 Romania Vs Argentina
22:00 Ukraine Vs United States
22:00 Gibraltar Vs Estonia
22:30 Austria Vs Uruguay
22:30 Switzerland Vs Croatia
22:45 Poland Vs Scotland
22:45 Germany Vs Chile
22:45 Belgium Vs Ivory Coast
22:45 Wales Vs Iceland
22:45 Ireland Vs Serbia
23:00 France Vs Netherlands
23:00 England Vs Denmark
22:45 Portugal Vs Cameroon
23:00 Spain Vs Italy
23:00 Australia Vs Ecuador
23:59 Saint Lucia Vs Jamaica
Alhamisi Machi 6
1:30 Mexico Vs Nigeria
2:00 Costa Rica Vs Paraguay
0 comments:
Post a Comment