Sunday 1 June 2014

MSIBA ,WAZIRI LUKUVI AFIWA NA BABA MKWE WAKE


Waziri  wa nchi  ofisi ya  waziri mkuu sera na uratibu wa bunge  Mheshimiwa Wiliam Vangimembe Lukuvi amefiwa na babake mkwe ambae  alikuwa amelazwa Hospital ya taifa Muhimbili na mwili unataraji kuwasili  leo mjini Iringa.

0 comments: