Sunday 29 June 2014

KOMBE LA DUNIA: SCOLARI ADAI BADO GEMU 3 KUFIKA ‘PEPONI!’



Luiz_Felipe_ScolariKOCHA wa Brazil Luiz Felipe Scolari amesema Timu yake imebakisha Gemu 3 kufika ’Peponi’ baada Jana kuibwaga Chile kwa Mikwaju ya Penati 3-2 baada ya Sare ya Bao 1-1 katika Dakika 120 za Mchezo za Mechi ya Raundi ya Pili ya Kombe la Dunia.
Kwenye Robo Fainali, Brazil watacheza na Colombia ambao Jana waliwafunga Uruguay 2-0.
Scolari amesema: “Tuliazimia wenyewe kwenye dhima hii tuwe Mabingwa. Ukiweka ahadi ni lazima uitimize. Hili ndio Wachezaji wanafanya!”
Aliongeza: “Bado zipo Gemu 3 zaidi na tutaona kama tutafika peponi!”
Kabla ya Mechi na Chile, Scolari alikiri kucheza na Chile ni ‘maumivu’ na pia kubaini Wachezaji wake kidogo wana mchecheto.
Scolari, ambae aliiongoza Brazil kutwaa Kombe la Dunia Mwaka 2002, alisema: “Kila Mechi inazidi kuwa ngumu na ugumu unaongezeka! Kombe la Dunia limeonyesha Timu zinalingana. Kama hutumii nafasi moja au mbili unazopata, kama tulivyofanya Leo, basi unaweza kuadhirika na kutolewa.”
KOMBE LA DUNIA
RAUNDI YA PILI YA MTOANO
**Saa za Bongo
JUMAMOSI, JUNI 28, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
49
Brazil 1 Chile 1, Penati 3-2
Mineirão
Belo Horizonte
2300
50
Colombia 2 Uruguay 0
Maracanã
Rio de Janeiro
JUMAPILI, JUNI 29, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
51
Netherlands v Mexico
Castelao
Fortaleza
2300
52
Costa Rica v Greece
Pernambuco
Recife
JUMATATU, JUNI 30, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
53
France v Nigeria
Nacional
Brasilia
2300
54
Germany v Algeria
Beira-Rio
Porto Alegre
JUMANNE, JULAI 1, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
55
Argentina v Switzerland
Corinthians
Sao Paulo
2300
56
Belgium v USA
Fonte Nova
Salvador






ROBO FAINALI
IJUMAA, JULAI 4, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

1900
Mshindi 53 v Mshindi 54 [57]
ROBO FAINALI
Estadio do Maracanã, Rio de Janeiro

2300
Brazil v Colombia [58]
ROBO FAINALI
Estadio Castelão, Fortaleza

JUMAMOSI, JULAI 5, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

1900
Mshindi 55 v Mshindi 56 [59]
ROBO FAINALI
Nacional, Brasilia

2300
Mshindi 51 v Mshindi 52 [60]
ROBO FAINALI
Arena Fonte Nova, Savador

NUSU FAINALI
JUMANNE, JULAI 8, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

2300
Mshindi 57 v Mshindi 58 [61]
NUSU FAINALI
Estadio Mineirão, Belo Horizonte

JUMATANO, JULAI 9, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

2300
Mshindi 59 Mshindi 60 [62]
NUSU FAINALI
Arena Corinthians, Sao Paulo

MSHINDI WA TATU
JUMAMOSI, JULAI 12, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

2300
Aliefungwa 61 v Aliefungwa 62
MSHINDI WA 3
Nacional, Brasilia

FAINALI
JUMAPILI, JULAI 13, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

2200
Mshindi Mechi 61 v Mshindi Mechi 62
FAINALI
Estadio do Maracanã, Rio de Janeiro

0 comments: